Floyd Mayweather Amiliki Ndege ya Dhahabu.
Bondia maarufu duniani Floyd Mayweather ashangaza ulimwengu kwa kununua ndege ya pili ambayo imenakishiwa kwa madini ya dhahabu. Inasemekana ndege ambayo bondia huyo amenunu ni aina ya Gulf Stream III yenye uwezo wa kubeba abiria 12. Ingawa wengi wanajiuliza ni nini kimemsukuma Mayweather kununua ndege hiyo kwa sasa, yeye mwenyewe amekaririwa na baadhi ya vyombo […]